Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 1:15-17

1 Kor 1:15-17 SUV

mtu asije akasema kwamba mlibatizwa kwa jina langu. Tena naliwabatiza watu wa nyumbani mwa Stefana; zaidi ya hao, sijui kama nalimbatiza mtu ye yote mwingine. Maana Kristo hakunituma ili nibatize, bali niihubiri Habari Njema; wala si kwa hekima ya maneno, msalaba wa Kristo usije ukabatilika.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 1:15-17