Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Nya 1:32-34

1 Nya 1:32-34 SUV

Na wana wa Ketura, suria yake Ibrahimu; yeye akamzaa Zimrani, na Yokshani, na Medani, na Midiani, na Ishbaki, na Shua. Na wana wa Yokshani; Sheba na Dedani. Na wana wa Midiani; Efa, na Eferi, na Hanoki, na Abida, na Eldaa. Hao wote ndio wana wa Ketura. Na Ibrahimu naye akamzaa Isaka. Wana wa Isaka; Esau, na Israeli.

Soma 1 Nya 1