Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Sefania 2:11

Sefania 2:11 NEN

BWANA atakuwa wa kuhofisha kwao atakapoangamiza miungu yote ya nchi. Mataifa katika kila pwani yatamwabudu, kila moja katika nchi yake.