Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zekaria 8:16-17

Zekaria 8:16-17 NEN

Haya ndiyo mtakayoyafanya: Semeni kweli kila mtu kwa mwenzake, na mtoe hukumu ya kweli na haki kwenye mahakama zenu, usipange mabaya dhidi ya jirani yako, wala msipende kuapa kwa uongo. Nayachukia yote haya,” asema BWANA.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zekaria 8:16-17