Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ruthu 2:11

Ruthu 2:11 NEN

Boazi akamjibu, “Nimeambiwa yote uliyomtendea mama mkwe wako tangu mume wako alipofariki, na jinsi ulivyomwacha baba yako na mama yako na nchi yako ulimozaliwa, ukaja kuishi na watu ambao hukuwafahamu awali.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ruthu 2:11