Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 8:31-32

Warumi 8:31-32 NEN

Tuseme nini basi kuhusu haya? Ikiwa Mungu yuko upande wetu, ni nani awezaye kuwa kinyume chetu? Ikiwa Mungu hakumhurumia Mwanawe, bali alimtoa kwa ajili yetu sote, atakosaje basi kutupatia vitu vyote kwa ukarimu pamoja naye?

Video for Warumi 8:31-32