Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 5:6-8

Warumi 5:6-8 NEN

Kwa maana hata tulipokuwa dhaifu, wakati ulipowadia, Kristo alikufa kwa ajili yetu sisi wenye dhambi. Hakika, ni vigumu mtu yeyote kufa kwa ajili ya mwenye haki, ingawa inawezekana mtu akathubutu kufa kwa ajili ya mtu mwema. Lakini Mungu anaudhihirisha upendo wake kwetu kwamba: Tulipokuwa tungali wenye dhambi, Kristo alikufa kwa ajili yetu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 5:6-8