Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 14:17-18

Warumi 14:17-18 NEN

Kwa maana Ufalme wa Mungu si kula na kunywa, bali ni haki, amani na furaha katika Roho Mtakatifu. Kwa sababu mtu yeyote anayemtumikia Kristo kwa jinsi hii, anampendeza Mungu na kukubaliwa na wanadamu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 14:17-18

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha