Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 13:11-12

Warumi 13:11-12 NEN

Nanyi fanyeni hivi, mkiutambua wakati tulio nao. Saa ya kuamka kutoka usingizini imewadia, kwa maana sasa wokovu wetu umekaribia zaidi kuliko hapo kwanza tulipoamini. Usiku umeendelea sana, mapambazuko yamekaribia. Kwa hiyo tuyaweke kando matendo ya giza na tuvae silaha za nuru.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 13:11-12