Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 12:8-9

Warumi 12:8-9 NEN

kama ni kutia moyo na atie moyo, kama ni kuchangia kwa ajili ya mahitaji ya wengine na atoe kwa ukarimu, kama ni uongozi na aongoze kwa bidii, kama ni kuhurumia wengine na afanye hivyo kwa furaha. Upendo lazima usiwe na unafiki. Chukieni lililo ovu, shikamaneni na lililo jema.

Video for Warumi 12:8-9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 12:8-9