Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 10:13-15

Warumi 10:13-15 NEN

Kwa maana, “Kila mtu atakayeliitia Jina la Bwana, ataokolewa.” Lakini watamwitaje yeye ambaye hawajamwamini? Nao watawezaje kumwamini yeye ambaye hawajamsikia? Tena watamsikiaje bila mtu kuwahubiria? Nao watahubirije wasipopelekwa? Kama ilivyoandikwa, “Tazama jinsi ilivyo mizuri miguu yao wale wanaohubiri habari njema!”

Video for Warumi 10:13-15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 10:13-15