Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 1:9-10

Warumi 1:9-10 NEN

Kwa maana Mungu ninayemtumikia kwa moyo wangu wote katika kuhubiri Injili ya Mwanawe, ni shahidi wangu jinsi ninavyowakumbuka katika maombi yangu siku zote, nami ninaomba kwamba hatimaye sasa kwa mapenzi ya Mungu, njia ipate kufunguliwa kwa ajili yangu ili nije kwenu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 1:9-10