Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 8:12

Ufunuo 8:12 NEN

Kisha malaika wa nne akaipiga tarumbeta yake, na theluthi ya jua, theluthi ya mwezi na theluthi ya nyota zikapigwa. Kwa hiyo theluthi moja ya mwanga ikawa giza. Theluthi ya mchana ikawa haina mwanga na pia theluthi ya usiku.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 8:12