Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 5:13

Ufunuo 5:13 NEN

Kisha nikasikia kila kiumbe mbinguni na duniani, chini ya nchi na baharini na vyote vilivyomo ndani yake vikiimba: “Sifa na heshima na utukufu na uweza ni vyake yeye aketiye juu ya hicho kiti cha enzi na kwa Mwana-Kondoo, milele na milele!”

Verse Image for Ufunuo 5:13

Ufunuo 5:13 - Kisha nikasikia kila kiumbe mbinguni na duniani, chini ya nchi na baharini na vyote vilivyomo ndani yake vikiimba:
“Sifa na heshima na utukufu na uweza
ni vyake yeye aketiye juu ya hicho kiti cha enzi
na kwa Mwana-Kondoo,
milele na milele!”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 5:13