Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 21:23-24

Ufunuo 21:23-24 NEN

Ule mji hauhitaji jua wala mwezi kuuangazia, kwa sababu utukufu wa Mungu ndio nuru yake na Mwana-Kondoo ndiye taa yake. Mataifa yatatembea yakiangaziwa na nuru yake na wafalme wa duniani wataleta fahari yao ndani yake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 21:23-24

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha