Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 10:9-10

Ufunuo 10:9-10 NEN

Basi nikamwendea nikamwomba yule malaika anipe kile kitabu kidogo. Akaniambia, “Chukua na ukile. Kitakuwa kichungu tumboni mwako, lakini kinywani mwako kitakuwa kitamu kama asali.” Hivyo nikakichukua kile kitabu kidogo kutoka mkononi mwa yule malaika nikakila. Kilikuwa kitamu kama asali kinywani mwangu, lakini baada ya kukila, tumbo langu likatiwa uchungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 10:9-10