Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 10:1

Ufunuo 10:1 NEN

Kisha nikamwona malaika mwingine mwenye nguvu akishuka kutoka mbinguni. Alikuwa amevikwa wingu na upinde wa mvua juu ya kichwa chake. Uso wake ulingʼaa kama jua na miguu yake ilikuwa kama nguzo za moto.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 10:1