Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 84:10-11

Zaburi 84:10-11 NEN

Siku moja katika nyua zako ni bora kuliko siku elfu mahali pengine; afadhali ningekuwa bawabu katika nyumba ya Mungu wangu kuliko kukaa katika mahema ya waovu. Kwa kuwa BWANA ni jua na ngao, BWANA hutoa wema na heshima; hakuna kitu chema anachowanyima wale ambao hawana hatia.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 84:10-11