Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 69:13-15

Zaburi 69:13-15 NENO

Lakini Ee BWANA, ninakuomba, kwa wakati ukupendezao; katika upendo wako mkuu, Ee Mungu, unijibu kwa wokovu wako wa hakika. Uniokoe katika matope, usiniache nizame; niokoe na hao wanaonichukia, kutoka kwa vilindi vya maji. Usiache mafuriko yanigharikishe au vilindi vinimeze, au shimo lifumbe kinywa chake juu yangu.