Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 66:16-20

Zaburi 66:16-20 NEN

Njooni msikilize ninyi nyote mnaomcha Mungu, nami niwaambie aliyonitendea. Nilimlilia kwa kinywa changu, sifa zake zilikuwa katika ulimi wangu. Kama ningekuwa nimeyaficha maovu moyoni mwangu, Bwana asingekuwa amenisikiliza; lakini hakika Mungu amenisikiliza na amesikia sauti yangu katika maombi. Sifa apewe Mungu, ambaye hakulikataa ombi langu wala kunizuilia upendo wake!