Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 55:16-17

Zaburi 55:16-17 NEN

Lakini ninamwita Mungu, naye BWANA huniokoa. Jioni, asubuhi na adhuhuri ninalia kwa huzuni, naye husikia sauti yangu.