Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 51:1-2

Zaburi 51:1-2 NEN

Ee Mungu, unihurumie, kwa kadiri ya upendo wako usiokoma, kwa kadiri ya huruma yako kuu, uyafute makosa yangu. Unioshe na uovu wangu wote na unitakase dhambi yangu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 51:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha