Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 42:7-8

Zaburi 42:7-8 NEN

Kilindi huita kilindi, katika ngurumo za maporomoko ya maji yako; mawimbi yako yote pamoja na viwimbi vimepita juu yangu. Mchana BWANA huelekeza upendo wake, usiku wimbo wake uko nami: maombi kwa Mungu wa uzima wangu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 42:7-8