Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 41:4-6

Zaburi 41:4-6 NEN

Nilisema, “Ee BWANA nihurumie, niponye, maana nimekutenda dhambi wewe.” Adui zangu wanasema kwa hila, “Lini atakufa, na jina lake litokomee kabisa.” Kila anapokuja mtu kunitazama, huzungumza uongo, huku moyo wake hukusanya masingizio; kisha huondoka na kuyasambaza huku na huko.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 41:4-6

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha