Zaburi 25:14-18
Zaburi 25:14-18 NEN
Siri ya BWANA iko kwa wale wamchao, yeye huwajulisha agano lake. Macho yangu humwelekea BWANA daima, kwa kuwa yeye peke yake ndiye ataitoa miguu yangu kutoka mtego. Nigeukie na unihurumie, kwa maana mimi ni mpweke na mwenye kuteseka. Shida za moyo wangu zimeongezeka, niokoe katika dhiki yangu. Uangalie mateso na shida zangu na uniondolee dhambi zangu zote.