Zaburi 147:8-11
Zaburi 147:8-11 NEN
Yeye huzifunika anga kwa mawingu, huinyeshea ardhi mvua, na kuzifanya nyasi kuota juu ya vilima. Huwapa chakula mifugo na pia makinda ya kunguru yanapolia. Furaha yake haipo katika nguvu za farasi, wala furaha yake kwenye miguu ya mwanadamu. BWANA hupendezwa na wale wamchao, wale wanaoweka tumaini lao katika upendo wake usiokoma.