Zaburi 134:1-3
Zaburi 134:1-3 NEN
Msifuni BWANA, ninyi nyote watumishi wa BWANA, ninyi mnaotumika usiku ndani ya nyumba ya BWANA. Inueni mikono yenu katika pale patakatifu na kumsifu BWANA. Naye BWANA, Muumba wa mbingu na dunia, awabariki kutoka Sayuni.