Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:20-21

Zaburi 119:20-21 NEN

Nafsi yangu inataabika kwa shauku kubwa juu ya sheria zako wakati wote. Unawakemea wenye majivuno, waliolaaniwa waendao mbali na amri zako.