Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 10:17-18

Zaburi 10:17-18 NEN

Unasikia, Ee BWANA, shauku ya wanaoonewa, wewe huwatia moyo, na kusikiliza kilio chao, ukiwatetea yatima na walioonewa, ili mwanadamu, ambaye ni udongo, asiogopeshe tena.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 10:17-18

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha