Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 3:21-24

Mithali 3:21-24 NEN

Mwanangu, hifadhi maamuzi mema na busara, usiache vitoke machoni pako; ndipo vitakapokuwa uzima nafsini mwako na pambo la neema shingoni mwako. Kisha utaenda katika njia yako salama, wala mguu wako hautajikwaa; ulalapo, hautaogopa; ulalapo usingizi wako utakuwa mtamu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 3:21-24

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha