Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 3:13-14

Mithali 3:13-14 NENO

Heri mtu yule apataye hekima, mtu yule apataye ufahamu, kwa maana hekima ana faida kuliko fedha na mapato yake ni bora kuliko ya dhahabu safi.