Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 2:21-22

Mithali 2:21-22 NEN

Kwa maana wanyofu wataishi katika nchi, nao wasio na lawama watabakia ndani yake. Bali waovu watakatiliwa mbali kutoka nchi, nao wasio waaminifu watangʼolewa kutoka humo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 2:21-22