Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 2:3-4

Wafilipi 2:3-4 NEN

Msitende jambo lolote kwa nia ya kujitukuza wala kujivuna, bali kwa unyenyekevu kila mtu amhesabu mwingine bora kuliko nafsi yake. Kila mmoja wenu asiangalie faida yake mwenyewe tu, bali pia ajishughulishe kwa faida ya wengine.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 2:3-4