Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 1:9-11

Wafilipi 1:9-11 NEN

Haya ndiyo maombi yangu: kwamba upendo wenu uongezeke zaidi na zaidi katika maarifa na ufahamu wote, ili mpate kutambua yale yaliyo mema, mkawe safi, wasio na hatia hadi siku ya Kristo, mkiwa mmejawa na matunda ya haki yapatikanayo kwa njia ya Yesu Kristo, kwa utukufu na sifa za Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 1:9-11