Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 13:9

Marko 13:9 NEN

“Lakini ninyi jihadharini. Kwa maana watawapeleka katika mabaraza yao na kupigwa mijeledi katika masinagogi. Mtashtakiwa mbele ya watawala na wafalme kwa ajili yangu, ili kuwa ushuhuda kwao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 13:9