Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 1:9-11

Marko 1:9-11 NEN

Wakati huo Yesu akaja kutoka Nazareti ya Galilaya, naye akabatizwa na Yohana katika Mto Yordani. Yesu alipokuwa akitoka ndani ya maji, aliona mbingu zikifunguka na Roho akishuka juu yake kama hua. Nayo sauti kutoka mbinguni ikasema, “Wewe ni Mwanangu mpendwa; nami nimependezwa nawe sana.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 1:9-11