Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mika 1:2-3

Mika 1:2-3 NEN

Sikieni, enyi mataifa, enyi nyote, sikilizeni, ee dunia na wote mliomo ndani yake, ili BWANA Mwenyezi ashuhudie dhidi yenu, Bwana kutoka Hekalu lake takatifu. Tazama! BWANA anakuja kutoka mahali pake; anashuka na kukanyaga mahali palipoinuka juu pa dunia.