Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 9:37-38

Mathayo 9:37-38 NEN

Ndipo akawaambia wanafunzi wake, “Mavuno ni mengi lakini watendakazi ni wachache. Kwa hiyo mwombeni Bwana wa mavuno, ili apeleke watendakazi katika shamba lake la mavuno.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 9:37-38

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha