Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 7:16-20

Mathayo 7:16-20 NEN

Mtawatambua kwa matunda yao. Je, watu huchuma zabibu kwenye miiba, au tini kwenye michongoma? Vivyo hivyo, mti mwema huzaa matunda mazuri, na mti mbaya huzaa matunda mabaya. Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri. Kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa na kutupwa motoni. Hivyo, mtawatambua kwa matunda yao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 7:16-20