Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 5:23-24

Mathayo 5:23-24 NEN

“Kwa hiyo, kama unatoa sadaka yako madhabahuni, ukakumbuka kuwa ndugu yako ana kitu dhidi yako, iache sadaka yako hapo mbele ya madhabahu. Enda kwanza ukapatane na ndugu yako; kisha urudi na ukatoe sadaka yako.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 5:23-24