Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 26:69-70

Mathayo 26:69-70 NEN

Wakati huu Petro alikuwa amekaa nje uani. Mtumishi mmoja wa kike akamjia na kumwambia, “Wewe pia ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya.” Lakini Petro akakana mbele yao wote akisema, “Sijui hilo usemalo.”