Mathayo 26:69-70
Mathayo 26:69-70 Biblia Habari Njema (BHN)
Petro alikuwa ameketi nje uani. Basi, mtumishi mmoja wa kike akamwendea, akasema, “Wewe ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya.” Petro akakana mbele ya wote akisema, “Sijui hata unasema nini.”
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:69-70 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Petro alikuwa ameketi nje uani; kijakazi mmoja akamwendea, akasema, Wewe nawe ulikuwapo pamoja na Yesu wa Galilaya. Akakana mbele ya wote, akisema, Sijui usemalo.
Shirikisha
Soma Mathayo 26