Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 26:26-27

Mathayo 26:26-27 NENO

Walipokuwa wanakula, Isa akachukua mkate, akashukuru, akaumega, na kuwapa wanafunzi wake, akisema, “Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu.” Kisha akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akisema, “Nyweni nyote katika kikombe hiki.