Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 22:19-21

Mathayo 22:19-21 NEN

Nionyesheni hiyo sarafu inayotumika kwa kulipia kodi.” Wakamletea dinari. Naye akawauliza, “Sura hii ni ya nani? Na maandishi haya ni ya nani?” Wakamjibu, “Ni vya Kaisari.” Basi Yesu akawaambia, “Mpeni Kaisari kilicho cha Kaisari, naye Mungu mpeni kilicho cha Mungu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 22:19-21