Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 10:32-33

Mathayo 10:32-33 NEN

“Kila mtu atakayenikiri mbele ya watu, mimi nami nitamkiri yeye mbele za Baba yangu aliye mbinguni. Lakini yeyote atakayenikana mimi mbele ya watu, mimi nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 10:32-33