Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Malaki 3:10-12

Malaki 3:10-12 NEN

Leteni zaka kamili ghalani, ili kuwe na chakula katika nyumba yangu. Nijaribuni katika hili,” asema BWANA Mwenye Nguvu Zote, “nanyi mwone kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni na kuwamwagieni baraka nyingi mpaka mkose nafasi ya kutosha. Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu, wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake,” asema BWANA Mwenye Nguvu Zote. “Ndipo mataifa yote yatawaita mliobarikiwa, kwa maana nchi yenu itakuwa ya kupendeza sana,” asema BWANA Mwenye Nguvu Zote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Malaki 3:10-12