Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 5:27-28

Luka 5:27-28 NEN

Baada ya haya, Yesu alitoka na kumwona mtoza ushuru mmoja jina lake Lawi akiwa amekaa forodhani, mahali pake pa kutoza ushuru. Akamwambia, “Nifuate.” Naye Lawi akaacha kila kitu, akaondoka, akamfuata.