Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 4:2-4

Luka 4:2-4 NEN

mahali ambako kwa siku arobaini alikuwa akijaribiwa na ibilisi. Kwa siku zote hizo hakula chochote, hivyo baada ya muda huo akaona njaa. Ibilisi akamwambia, “Ikiwa wewe ni Mwana wa Mungu, amuru jiwe hili liwe mkate.” Yesu akajibu akamwambia, “Imeandikwa: ‘Mtu haishi kwa mkate tu.’ ”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 4:2-4