Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 23:44-45

Luka 23:44-45 NEN

Ilikuwa kama saa sita mchana, nalo giza likafunika nchi yote hadi saa tisa, kwa sababu jua liliacha kutoa nuru. Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 23:44-45