Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 2:8-9

Luka 2:8-9 NEN

Katika eneo lile walikuwako wachungaji waliokuwa wakikaa mashambani, wakilinda makundi yao ya kondoo usiku. Ghafula tazama, malaika wa Bwana akawatokea, nao utukufu wa Bwana ukawangʼaria kotekote, wakaingiwa na hofu.